Niite: Jinsi Biblia inavyosema katika zama hizi za UKIMWI (Tumeitwa Kuhudumia) (Swahili Edition)

By J. Larko Steiner.

Niite: Jinsi Biblia inavyosema katika zama hizi za UKIMWI (Tumeitwa Kuhudumia) (Swahili Edition)

Description

Kitabu hiki kina masomo 20 ya Biblia kuhusu mada kama vile kujamiiana na nidhamu yake, ndoa, tumaini, uongozi wa kanisa, msamaha, watu wanaoishi na WU, hofu na wasiwasi, unyanyapaa, watoto, na kifo, huzuni na maombolezo. Kila somo linatakiwa kuchukua muda kati ya dakika 90 na masaa mawili kukamiiika. Kitini cha TUMEITWA KUHUDUMIA kinajumuisha matendo, vijitabu vyenye kuhusisha matendo na miongozo midogo kuhusu mambo yanayohusu VVU na UKIMWI, vilivyoandaliwa kwa matumizi ya viongozi wa kanisa, hasa kwa nchi zilizo Afrika chini ya Jangwa la Sahara. Madhumuni ya mambo yaliyomo ni kuwawezesha ...

ISBN(s)

1905746180, 9781905746187

REVIEWS (0) -

No reviews posted yet.

WRITE A REVIEW

Please login to write a review.